Trouw Nutrition Tanzania

Trouw Nutrition is the global leader in innovative feed specialties, premixes and nutritional services for the animal nutrition industry. Its catalogue provides species-specific nutritional solutions consisting of feed concepts, products and nutritional know-how.

Trouw Nutrition’s nutrition solutions have met the need of farmers and home-mixers, feed producers, integrators and distributors. Trouw Nutrition has locations in 25 countries and around 5000 employees.

Need nutritional advice? Would you like our view on your farm management?

Fill in your info below, and receive free tailor-made advice from one of our species specialists!


Trouw Nutrition ni kampuni vinara ulimwenguni na maarufu katika  ubunifu wa hali ya juu wa utengenezaji wa vyakula mbalimbali vya mifugo, vichanganyio (premixes) ,virutubisho vya vyakula, na utoaji huduma za lishe kwenye viwanda vya utengenezaji vyakula hivi. Kampuni hii ina vitabu  vya orodha za virutubisho ambavyo ni suluhisho kwa lishe maalum kwa jamii zote za mifugo ikijumuisha dhana na maarifa mbalimbali kuhusu lishe. Kampuni hii imetoa ufumbuzi kwa changamoto mbalimbali kwenye lishe zilizothibitishwa kukidhi matakwa mbalimbali ya wafugaji, wachanganyaji wa vyakula majumbani, watengenezaji na wasambazaji wa vyakula vya mifugo. Trouw Nutrition ina ofisi zake katika nchi 25 duniani na wafanyakazi wasiopungua 5000.

Je, unahitaji ushauri kuhusu lishe? Ungependa kupata mtazamo wetu kuhusu namna ya kuendesha shamba lako la mifugo kifanisi au jinsi ya kuchanganya chakula? Jaza maelezo zako kwenye fomu hii ili upate maelezo maalum kutoka kwa wataalam;